
10,951 views
Chantelle feat Abbas Kubaff
3 Jun 2013
Abbas Kubaff and Chantel - hit song Tokelezea Lyrics Nikifika club watu wanatokelezea! Si watu wako wengi, manze wame tokelezea! Abbas na Chantelle, wametokelezea! Cheki vile hizo macho zimetokelezea! Hizo haga zimetokelezea, Sababu wanasema ati mimi nakula mbolea! Mi supuu, ka stew na ma top layer za high school, vile huwa zimetokelezea! Niko fresh bila prince, nimetoka bel-air, natoka keja bila make up sijajipondelea, Na bado nakaa poa nimetokelezea! Nina bra na manipples zimetokelezea! Mothers union, bado haga imetokelezea! (naeza kupikia ukinitembelea) Ukikosa beste zako, watatokelezea, na watatokelezea, tokelezea! Hata wakichelewa bora watatokelezea! Cheki vile hizo nywele zimetokelezea! Za Rihanna kando zangu zimetokelezea! Hata zikikatwa bado zitatokelezea! Abbas ni kubaff, ametokelezea! Chantel, nita tell nimetokelezea! Abbas ni kubaff, ametokelezea! Chentelle, nita tell nimetokelezea! Tokelezea! (hear that vybe) Tukatokelezea! (hear that vybe) Tukatokelezea! Tokelezea! Tokelezea! Kimsee, kimetoplezea! Kichwa na madigaga, cheki vile zimetokelea! Oyeah! Nimekomaa,nimekula mimea, nimepokea mabajia zote, kwenye sinia, hadi kautambi kangu kakatokelezea! Ukiparua, utatokelezea, kama si solea si ungepaka nivea! Nijea, kimsee kimetokeleze-a! Na msupa ametokelezea (Tokelezea!) Nyi mnadunga masupa juu mmesha potea! Hizo njumu feki feki zita top-polezea! Simunajua, nab ado mnajitetea! Kuna watu wengi hunichorea, mi niliwapea wire wakanichomea! Lakini mi nili shukuru nikawachorea, juu najua tu mabaraka zitatokelezea! (zea) On the scene, nimetokelezea, Chantelle mimi nimetokelezea, Abbas alinitoa, nikatokelezea! Nikatokelezea! Nikatokelezea! Ma rhymes, kama thao, nazikatokelezea!, kwenye show watu wengi wakatokelezea! Walilipa wakaingia na wa kapolea! Wanajua vile sisi tutatokelezea! Mapiercing, na matatoo zimetokelezea! Pahali nimepitia,hauwezi tembea! Vile nimetokea, nimejitolea! Mola Baraka zako, nimezipokea! Leo nimeamka na nika tokelezea! Tokelezea! Tokelezea! Nikatokelezea! nika-tokelezea! nika-tokelezea! Ongeza volume in the air, majirani watajua tumetokelezea Kuna bash nimecrash, ina da area, tuna shika mizinga tuki-tokelezea! Nina keria,ku sheria! Na nita share na wale tu wame (tokelezea!) Kama ume top-olezea, mi nika top-olezea, nyi nyi mka top-olezea basi! Tuka-tokelezea! Tuka-tokelezea! Tuka-tokelezea! Tuka-tokelezea! Tuka-tokelezea! Tuka-tokelezea! Tuka-tokelezea! Tuka-tokelezea! Tuka-tokelezea! Tuka-tokelezea! Tuka-tokelezea! Tuka-tokelezea!
Abbas Kubaff feat Feyizo
Abbas Kubaff feat Harry K. and Kelma