
32 views
Host: Amani Aila Kila mmoja wetu anajenga maisha yake kila siku. Matendo 18:1–11 na 1 Wakorintho 3:10–15 yanatukumbusha umuhimu wa kujenga maisha yetu juu ya msingi sahihi. Kila tunachofanya kina thamani, hivyo tujenge kwa hekima, imani na kwa kumtegemea Mungu. Producer: Mercy Shirley