
123 views
Takwimu zinaonyesha kuwa asilimia 65 ya Wakenya wanaona hali yao ya maisha ikiendelea kuwa ngumu na umaskini kuongezeka, huku ni asilimia 12 pekee wanaosema maisha yao yanaendelea kuwa bora. Hii inaonyesha hali ya kiuchumi bado ni changamoto kwa Wakenya wengi.