100 views
Konnect on Radio Maisha
Aired 9 Sep 2026
32:32
Host: Christine Kambua Phyllis anaangazia umuhimu wa kumwezesha mwanamke, akisema kuwa unapombadilisha na kumpa mwanamke nguvu, maarifa na nafasi, unakuwa umeleta mabadiliko chanya katika familia na jamii nzima. Producer: Mercy Shirley