38 views
Konnect on Radio Maisha
Aired 9 Sep 2026
6:18
Host: Christine Kambua Phyllis anawahimiza watu kutoficha changamoto wanazopitia, bali wazungumze na mtu wanayemwamini. Anasisitiza kuwa daima kuna mtu aliye tayari kusikiliza na kutoa msaada. Producer: Mercy Shirley