
23 views
Host: Christine Kambua Phyllis anaangazia changamoto kubwa inayowakabili wanawake ni ukosefu wa kujiamini. Anasisitiza umuhimu wa wanawake kujiamini, kutambua uwezo wao na kuondokana na hofu inayoweza kuwazuia kufikia malengo na kutimiza ndoto zao. Producer: Mercy Shirley & Brenda Obura