
11 views
Host: Christine Kambua Phyllis Nyawira anaeleza jinsi malezi na mazingira aliyokulia yalivyomchochea kuwa mtetezi wa uwezeshaji wa wanawake. Anashiriki safari yake, changamoto alizoshuhudia na kwa nini anaamini wanawake wanapaswa kuinuliwa na kupewa nafasi ya kujijenga na kufanikiwa. Producer: Mercy Shirley & Brenda Obura