46 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 9 Sep 2026
14:52
Host: Christine Kambua Serikali inasema SHA inafanya kazi, ilhali tunashuhudia mgomo wa wauguzi. Je, kwa maoni yako, SHA inafanya kazi kweli, au ni nani anayefaidika na huduma za SHA? Producer: Mercy Shirley & Brenda Obura