
243 views
Host: Christine Kambua Kenyans, we can do better! Hata kama raia wa Burundi walipewa maelekezo ya kuacha baadhi ya biashara, hiyo haiwapi mtu yeyote ujasiri wa kuwanyanyasa. Sheria ifuatwe, lakini utu, heshima na ubinadamu viwepo kila wakati. Producer: Mercy Shirley & Brenda Obura