29 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 9 Sep 2026
16:06
Pombe haramu ni miongoni mwa sababu zinazoweza kuhatarisha uwezo wa mtu wa kuona. Maji ya macho, mwili na afya kwa ujumla vinaweza kuathirika kutokana na matumizi ya pombe isiyodhibitiwa.