
26 views
Host: Amani Aila Washa Taa ni kitengo kinachotualika kushirikishana mistari kutoka kwenye Biblia, kwa lengo la kuelimishana, kutiana moyo na kuimarisha imani yetu kupitia Neno la Mungu. Kila mstari una ujumbe wa kutujenga na kutusaidia katika safari yetu ya maisha. Producer: Mercy Shirley