
213 views
Host: Christine Kambua Sharon anaungana nasi katika mazungumzo ya kina kuhusu sheria za dhuluma za kijinsia na namna sheria inavyowalinda waathiriwa. Sharon anaeleza kwa nini makosa ya kingono hayafai kusuluhishwa kinyumbani kwa kulipishana au kwa makubaliano ya kifamilia, akisisitiza umuhimu wa kuripoti kesi hizo na kufuata taratibu za kisheria ili haki itendeke. Producer: Mercy Shirley & Brenda Obura