
95 views
Host: Christine Kambua Sharon anaeleza kuhusu ushahidi unaotolewa na watoto walio chini ya umri wa miaka 18 katika kesi za dhuluma za kijinsia. Anasema ushahidi wa mtoto unaweza, katika mazingira yanayoruhusiwa na sheria, kuwa na uzito wa kutosha kusaidia mahakama kumtia hatiani mtu anayeshtakiwa kwa kumdhulumu mtoto. Producer: Mercy Shirley & Brenda Obura