
62 views
Host: Christine Kambua Sharon anaeleza kuhusu Sheria ya Makosa ya Kijinsia (Sexual Offences Act), ambayo inalenga kulinda watu dhidi ya aina mbalimbali za dhuluma na ukatili wa kijinsia. Anasisitiza umuhimu wa kufahamu haki za waathiriwa na hatua za kisheria zinazoweza kuchukuliwa dhidi ya wahusika wa makosa hayo. Producer: Mercy Shirley & Brenda Obura