
134 views
Host: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Mjadala kuhusu kauli ya Rais William Ruto ya kuwataka wafanyabiashara wa kigeni kurejea katika mataifa yao, huku Irungu akimtaka Rais kufafanua maana ya kauli hiyo na msimamo wa serikali kuhusu wafanyabiashara hao. Producer: Mercy Shirley & Brenda Obura