
132 views
Host: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Irungu Nyakera anaonya kuwa hatua za kuwafukuza wafanyabiashara kutoka mataifa jirani zinaweza kuathiri uhusiano wa Kenya na majirani zake, huku Wakenya wanaoishi na kufanya biashara katika nchi hizo wakikabiliwa na hatua kama hizo. Producer: Mercy Shirley & Brenda Obura