
956 views
Host: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Raia wa Burundi wanaendelea kutafuta hati za kusafiria nchini Kenya kufuatia agizo la Rais Ruto kuhusu wafanyabiashara wa kigeni. Je, hatua dhidi ya wafanyabiashara wa kigeni bila vibali ni za haki, au zimeenda mbali zaidi ya ilivyokusudiwa? Producer: Mercy Shirley & Brenda Obura