
256 views
Host: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Nyota wa Harambee Stars, Job Ochieng, ameendelea kuandika historia nchini Hispania baada ya kufunga bao lake la kwanza LaLiga. Ochieng alitoa assists mbili, akihusika katika mabao yote matatu ya Real Sociedad. Producer: Mercy Shirley & Brenda Obura