
60 views
Host: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Mamia ya raia wa Burundi nchini Kenya wanatafuta hati za kusafiria baada ya Rais William Ruto kuagiza hatua dhidi ya wafanyabiashara wa kigeni wanaofanya biashara bila vibali. Producer: Mercy Shirley & Brenda Obura