
9 views
Host: Amani Aila Matendo ya Mitume 17:10–12 inatuhimiza kuchunguza Neno la Mungu kwa kina na kuhakikisha tunachofundishwa kina msingi katika Maandiko. Twende hadi Kilindini, tujifunze zaidi, tuchunguze Neno na tuimarishe imani yetu. Producer: Mercy Shirley