
51 views
Host: Amani Aila Washa Taa ni kitengo kinachotupa nafasi ya kushirikiana Neno la Mungu kupitia aya mbalimbali za Biblia, kwa lengo la kuelimishana, kutiana moyo na kuimarishana katika imani. Shiriki nasi aya inayokugusa leo, huenda ikawa mwanga na faraja kwa mtu mwingine. Producer: Mercy Shirley