
8 views
Host: Amani Aila Maisha yanaweza kutupitisha katika nyakati za majaribu na changamoto, lakini Mungu huwa pamoja nasi katika kila hatua. Usiogope wala kukata tamaa; endelea kuwa na imani, kwa maana Mungu anaweza kukomboa na kutuvusha katika kila hali. Producer: Mercy Shirley