
7 views
Host: Amani Aila Usikate tamaa unapopitia magumu. Endelea kumtumaini Mungu, kwa sababu hata majaribu yakija, Bwana hatuachi. Anabaki kuwa mwaminifu, na wakati wake ukifika, atatufanya tuone sababu ya kuendelea kushikilia imani. Producer: Mercy Shirley