2,268 views
Maisha Jioni on Radio Maisha
Aired 7 Sep 2026
14:10
Chai ya saa Kumi :Taarifa ya Rais William Ruto kuhusu wafanyabiashara kutoka Burundi kuondoka nchini . Je, changamoto ni suala la kodi na vibali vya biashara, au Wakenya wanahisi wageni wanachukua nafasi zao za kibiashara ?