25 views
Konnect on Radio Maisha
Aired 7 Sep 2026
3:52
Bila kusomea taaluma ya urembo, kipaji chake kimemfanya abobeze katika kusuka nywele na kutengeneza kucha. Kupitia bidii, mazoezi na kujifunza, amegeuza kipaji chake kuwa biashara.