7,957 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 7 Sep 2026
45:06
Seneta wa Kaunti ya Vihiga, Godfrey Osotsi, anaeleza mtazamo wake kuhusu uwezekano wa Edwin Sifuna kuwania kiti cha urais, akisema ni Wakenya wenyewe wanaompa msukumo wa kuingia kwenye kinyang’anyiro hicho.