532 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 7 Sep 2026
11:10
Seneta wa Kaunti ya Vihiga, Godfrey Osotsi, anatoa mtazamo wake kuhusu mustakabali wa kisiasa wa Naibu Katibu Mkuu wa ODM, Edwin Sifuna, akisema Sifuna anaweza kuwa miongoni mwa watakaowania kiti cha urais katika uchaguzi ujao.