
35 views
Seneta wa Kaunti ya Vihiga, Godfrey Osotsi, anazungumzia madai kuhusu upotevu wa fedha za umma unaohusishwa na ghost schools na ghost workers nchini Kenya. Katika mahojiano haya, Osotsi anaeleza anachodai kuwa ni mianya inayosababisha mabilioni ya fedha za umma kupotea, pamoja na haja ya Serikali kuchukua hatua za kuimarisha uwajibikaji na usimamizi wa rasilimali za taifa