506 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 7 Sep 2026
15:25
Seneta wa Kaunti ya Vihiga, Godfrey Osotsi, anatoa mtazamo wake kuhusu vuguvugu la Linda Mwananchi na madai kwamba Rais William Ruto ana wasiwasi kuhusu nguvu na ushawishi wa vuguvugu hilo.