
279 views
Seneta wa Kaunti ya Vihiga, Godfrey Osotsi, anaeleza historia na mtazamo wake kuhusu vuguvugu la Linda Mwananchi, akisema lilianza kama aina ya rebellion ndani ya chama cha ODM. Katika mahojiano haya, Osotsi anaeleza yaliyochochea vuguvugu hilo, msimamo wa viongozi wake na namna siasa za ndani ya ODM zilivyohusishwa na hatua hiyo.