
7 views
Brown Ashira anazungumzia hali ya wafanyakazi wa afya, akisisitiza kuwa wahudumu wa afya pia ni binadamu wenye mahitaji na majukumu ya kutimiza. Katika mahojiano haya, anatoa mtazamo wake kuhusu changamoto zinazowakabili wafanyakazi wa afya, madai yao na umuhimu wa kusikilizwa kwa hoja zao.