2,886 views
Rhumba Republik on Radio Maisha
Aired 6 Sep 2026
14:05
FULL-TIME! Arsenal wameibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Chelsea nyumbani Emirates, wakirejesha furaha kwa mashabiki na kuchukua pointi zote tatu muhimu. The Gunners wameonyesha ubora na mapambano hadi dakika ya mwisho.