220 views
Konnect on Radio Maisha
Aired 6 Sep 2026
9:03
Soko ni ngumu, siwezi kurudia maisha yangu ya dating. Nimepitia mambo mengi na nimejifunza kutokana na uzoefu wangu wa mahusiano. Kwa sasa, nachagua amani yangu na sitaki kurudia changamoto nilizopitia