35 views
Konnect on Radio Maisha
Aired 6 Sep 2026
7:23
Usijali kama watu hawakutambui au hawakulitambui jina lako. Mungu analijua jina lako, anaijua safari yako na analijua kusudi alilokupa. Endelea kusimama na kumwamini.