
33 views
Kujadili iwapo viongozi wa kidini wana haki ya kuwashauri au kuwaelekeza waumini kuhusu jinsi ya kutumia haki yao ya kupiga kura. Pia inahusu mipaka kati ya uhuru wa viongozi wa dini kutoa maoni ya kisiasa na kutowashinikiza waumini kumchagua mgombea au chama fulani.