
207 views
Ukitaka kuanza biashara ya nguo, usiogope kuanza kidogo. Usisubiri uwe na mtaji mkubwa ndipo uanze, tumia kile ulicho nacho na anza kujenga taratibu. Biashara inahitaji uvumilivu, kujituma na kujifunza kila siku. Ukianza leo, huwezi kujua kesho biashara yako itafika wap