
82 views
Nilianza biashara yangu ya mtumba na KSh 6,000 tu. Sikujua kama hiyo pesa ndogo ingeweza kunifikisha hapa nilipo leo. Nilipitia changamoto nyingi, lakini sikuacha kupambana na kukuza biashara yangu. Kama una mtaji mdogo na unaogopa kuanza, hii ni story unayopaswa kuisikiliza