
3,395 views
Rais william Ruto ameagiza kuchukuliwa hatua kali dhidi ya raia wa kigeni wanaoendesha biashara ndogo ndogo nchini kenya. agizo hilo linawalenga pia wageni wanaouza bidhaa mitaani kinyume na sheria. hatua hiyo inatarajiwa kuanza kutekelezwa kuanzia jumatatu, septemba 7, 2026. tazama video hii kupata maelezo zaidi kuhusu agizo hilo na athari zake kwa wafanyabiashara.