
24 views
uongozi wa kweli ni kuwahudumia wananchi na kusikiliza mahitaji yao. tunafaa kuchagua viongozi wanaojali maisha na mustakabali wa wananchi. ahadi zinapaswa kuambatana na vitendo na uwajibikaji. wakati wa uchaguzi, tuchague viongozi wanaotuweka mbele.