111 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 3 Sep 2026
12:44
Host: Amani Aila Kusingiziwa kunaweza kuumiza, lakini tusiruhusu maneno ya wengine yatuibie amani yetu. Tujifunze kusamehe, kuwachilia na kumuachia Mungu kila jambo. Moyo wa msamaha ni moyo unaopata amani. Producer: Mercy Shirley