36 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 3 Sep 2026
4:25
Host: Amani Aila Kusingiziwa kunaweza kuumiza na kuvunja moyo, hasa unapojua ukweli wa jambo. Lakini tujifunze kusamehe, kuwachilia waliotusingizia na kumuachia Mungu hukumu. Je, wewe umewahi kupitia hali kama hii? Producer: Mercy Shirley