
37 views
Wanawake wana uwezo wa kuongoza, kufanya maamuzi na kuleta mabadiliko katika jamii. Tusiogope kuwapa nafasi kwa sababu tu ni wanawake. Uongozi si wa jinsia, ni wa uwezo, maono na uwajibikaji. Wakati umefika wa kuacha hofu na kuwapa wanawake nafasi wanazostahili katika uongozi.