
25 views
Mti wenye matunda ndio utupiwa mawe. Vivyo hivyo, mwanamke anapoonyesha uwezo, anapopiga hatua na anapoingia katika nafasi za uongozi, si kila mtu atafurahia mafanikio yake. Atakutana na ukosoaji, vikwazo na wakati mwingine watu watakaomkatisha tamaa. Lakini hayo hayapaswi kumzuia.