
43 views
Host: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Mhariri Msaidizi wa Standard Group, Alex Kiprotich, amepatikana salama! Alipatikana karibu na Bwawa la Masinga, saa kadhaa baada ya kutekwa nyara akiwa njiani kuelekea Nakuru. Producer: Mercy Shirley & Brenda Obura