
71 views
Host: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Utekaji nyara wa wanahabari unazidi kuzua hofu nchini. Matukio ya kutoweka kwa waandishi na majaribio ya kuwakamata yanaibua maswali mazito kuhusu usalama wao wanapotekeleza wajibu wao wa kuhabarisha umma. Wanahabari wako salama kweli? Producer: Mercy Shirley & Brenda Obura