9 views
Konnect on Radio Maisha
Aired 1 Sep 2026
10:47
Mwanafunzi akifanyiwa dhuluma na mwalimu, mzazi au mlezi anaweza kuchukua hatua za kisheria. Lakini je, unaweza pia kuishtaki shule au chuo kinachohusika? Wakili anaeleza haki na hatua zinazoweza kuchukuliwa.