27 views
Konnect on Radio Maisha
Aired 1 Sep 2026
10:13
Mara nyingi tunasubiri mtu awe kwenye jeneza ndipo tunaanza kumpa maua tunalia, tunasifia na kusema mambo mazuri kumhusu. Mwezi mpya, ujumbe mpya: usiweke upendo, shukrani na pongezi zako kusubiri siku ya mwisho.