81 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 1 Sep 2026
4:32
Video inayosambaa mitandaoni imezua mjadala kuhusu tofauti katika huduma zinazotolewa kwa wasafiri, huku baadhi ya Wakenya wakilalamikia kulipia huduma lakini kutopata treatment wanayostahili katika viwanja vya ndege.