
39 views
Host: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Kuna video inayosambaa mitandaoni ikimuonyesha Mbunge wa Nakuru Town West akiwagawia wananchi mikate kwa kuirusha. Picha hii si nzuri, hasa inapozingatia utu na heshima ya wananchi. Producer: Mercy Shirley & Brenda Obura