
1,739 views
Host: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Hajji Omar na Omondi K’Oyoo wanatoa maoni yao kuhusu hali ya kisiasa nchini, uongozi, IEBC na mwelekeo wa siasa kuelekea uchaguzi ujao. Katika mjadala huu, wanazungumzia pia nafasi ya viongozi mbalimbali, uwezo wa kuunganisha wananchi, uungwaji mkono wa kisiasa pamoja na umuhimu wa kuhakikisha IEBC inalindwa dhidi ya kutumiwa vibaya. Skiza mjadala mzima kwa uchambuzi na mitazamo yao kuhusu Kenya tunakoelekea. Producer: Mercy Shirley & Brenda Obura